Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Wewe tayari unafaa, kidume wa 45 anakuweka ndani vizuri kabisa. Nimesimamia ndoa mbili, moja jamaa yuko 45 dada yuko 28, nyingine jamaa 42 dada 26. Kawaida sana hiyo.
Kumbe,,basi nkaombe msamaha, coz jana nilimtukana aniache
 
Si ndio,,,na pregnant ingine juu,, namwambia ni kisirani cha mimba kilifanya nimtukane jana hata haelewi pia
Aisee unatendea mayai yako haki, safi sana. Sasa unaamuachaje baby daddy wakati mna watoto kisa tu umri?
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Tafuta wako utajua kwa nini
 
Wewe ulimlisha matango pori, ananiona kama vice shetani Yani 😅😅
Ss hivi nimeokoka nitahakikisha unachukua goma lile 😂😂😂
Na kwa hili nitalisimamia mwenyewe winga
 
Wa umri wa kwao ni takataka tu. Slayqueens..hawajui hata kufua chupi zao na makucha marefu kama mazombie...kutwa kuchwa wanashinda tiktok wanajiuza

We zombie haujui..
 
Kwamba uzi huu tu ubadilishe mawazo na maisha yako ya mahusiano, just like that...mkuu unadanganya.
sasa nyuzi si zinaanzishwa kwaajili yetu tujifunze na kung'amua mambo,, sidanganyi
 
lololoh!
kumbe huwa ni biashara ya mapenzi tu na hakuna mapenzi ya dhati moyoni 🐒

au ndio maana ndoa nyingi ni kichefuchefu sasa hivi labda pesa imekata 🐒
Its an informal business ni vile tu haina tin number na taxes to the Gavoo
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Wanataka kulelewa, ndio maana wengi wao wakihongwa pesa na wao wanaenda kuhomga wanawake wa rika lao.
 
Back
Top Bottom