Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Cha Matapeli 😹elezea kivip 🐒
Tukiwa offline kidogo, mnaanza kuchafua starehe za watu 😅😅😅Mzee wa mishangazi 😹😹
Adui yangu upo?
Ushaelewa usinichoshe 😹😹huo ni uposhaji,
hata hivyo ni kivip inahisika au ina husiana na hoja ya msingi hapo mezani ?🐒
Unajua île siku tulipigwa ban wote nikapambana nikatoka 😹😹😹Tukiwa offline kidogo, mnaanza kuchafua starehe za watu 😅😅😅
Mimi nipo tu, hujapigwa ban?
Chama chakavu mtoke 😹we sema umechoka tu, maana shughuli haikua rahisi,
but sina haja kumchosha mwingine hata kidogo 🐒
ni kitu gani hasa cha msingi kilikuchochea na hata kimekutumbukiza kwenye huo mkwamo mzito wa kimaadili gentleman?🐒Mbaka hapa Nina 23 year nakula wamama tu! Nikipata Binti huwa hamu inaisha ila wamama nakuwa na mzuka hatari Tena wale vibonge
Si mnasema pesa ndio Kila kitu!!?majibu ndio hayo!sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Mimi nahisi na pepo maana hivi vibinti mzuka haupo kabisa ila wamama hawana mambo mengini kitu gani hasa cha msingi kilikuchochea na hata kimekutumbukiza kwenye huo mkwamo mzito wa kimaadili gentleman?🐒
🤣🤣🤣lakini, mdada wa 35 hivi hawezi kudate na me wa 50?Matatizo ya akili, Level za juu sana za mmonyoko wa maadili, Umasikini na tamaa.
Kuna kipindi nilifunga na kuomba Mwenyezi Mungu anisaidie nisionekane na watu wenye umri kuanzia 15 kunizidi.
Nina dhambi zingine tu hiyo siitaki.
aise!,Mimi nahisi na pepo maana hivi vibinti mzuka haupo kabisa ila wamama hawana mambo mengi
Mi naamini katika hisia na mapenzi sio biashara ya toa penzi nikupe pesa!!hiyo ni biashara haramu sana!bilashaka umekwepa vyema kutumbukia kwenye fedheha hii ya kimaadili comrade 🐒
Kwa hiyo target yako ni mabinti wa 20s kudate na me wa 40+, 50+ au 60+?nadhani hiyo ni kawaida,
mdada wa miaka hiyo aliejielewa mapema, kaisha jizalia watoto wake wa4, hivi sasa anaenjoy life tu na huyo muzee wa 50 na hata wa 60 pia 🐒
Kumbe 40 tayar ni mtu mzima,,, woooiii wacha nimuache huyuKwa hiyo target yako ni mabinti wa 20s kudate na me wa 40+, 50+ au 60+?