Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

Tukiwa offline kidogo, mnaanza kuchafua starehe za watu 😅😅😅

Mimi nipo tu, hujapigwa ban?
Unajua île siku tulipigwa ban wote nikapambana nikatoka 😹😹😹

Vipi sasa bff wangu simuoni umemficha wapi?
Naona kanitoroka kaja peke yake kukuona mgonjwa
 
Mbaka hapa Nina 23 year nakula wamama tu! Nikipata Binti huwa hamu inaisha ila wamama nakuwa na mzuka hatari Tena wale vibonge
ni kitu gani hasa cha msingi kilikuchochea na hata kimekutumbukiza kwenye huo mkwamo mzito wa kimaadili gentleman?🐒
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Si mnasema pesa ndio Kila kitu!!?majibu ndio hayo!

Mi kwangu pesa sio kila kitu japo ni muhimu !
 
Matatizo ya akili, Level za juu sana za mmonyoko wa maadili, Umasikini na tamaa.

Kuna kipindi nilifunga na kuomba Mwenyezi Mungu anisaidie nisionekane na watu wenye umri kuanzia 15 kunizidi.

Nina dhambi zingine tu hiyo siitaki.
🤣🤣🤣lakini, mdada wa 35 hivi hawezi kudate na me wa 50?
 
Mimi nahisi na pepo maana hivi vibinti mzuka haupo kabisa ila wamama hawana mambo mengi
aise!,
nadhani kuna haja ya maombi na maombezi kuvunja vunja na kukata minyororo yote ya hilo pepo,

huenda vijana wengi wanatumikishwa bila huruma na mapepo kwa mishangazi,

au ndio maana vijana wadogo tu hivi sasa wanaonekana na sura za kizee 🐒
 
🤣🤣🤣lakini, mdada wa 35 hivi hawezi kudate na me wa 50?
nadhani hiyo ni kawaida,
mdada wa miaka hiyo aliejielewa mapema, kaisha jizalia watoto wake wa4, hivi sasa anaenjoy life tu na huyo muzee wa 50 na hata wa 60 pia 🐒
 
bilashaka umekwepa vyema kutumbukia kwenye fedheha hii ya kimaadili comrade 🐒
Mi naamini katika hisia na mapenzi sio biashara ya toa penzi nikupe pesa!!hiyo ni biashara haramu sana!
Huwa naishiwa nguvu ya kuendelea na mahusiano ninapoona mhusika anataka malipo kabla ya mtanange !yaani namtokea TU anaanza kutoa checklist kama hesabu za ankra zilee!!!

Dunia hii inachosha sana aiseh!
 
Back
Top Bottom