Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.