Haha ila chadema banaKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka chadema ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za chadema.
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
ITV imekuwa ya ******* sana siku hiziKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka chadema ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za chadema.
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Siyo CCM wote, Dude lishaamka tayari, Gwaji boy kashakata utepe.Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka chadema ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za chadema.
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Media nyingi zimelipwa, hata TVE wamepewa fungu.Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka chadema ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za chadema.
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Mimi nilisema Chadema iboreshe kitengo chake kujibu na kukanusha propoganda kama hizo. dunia imebadilika ICT inatumika mno kwenye vita. vita siyo majukwaa ya Heche pekee. Tumieni hata wakenya ni wazuri kwenye vita ya kiteknolojiaNi aibu kwa TV kubwa kama hii
Duh,ITV wametumika na CCM leo kutoa taarifa za fake chaso
mnawakataa wanachama wenu mtabaki na nani sasa?Ni kweli kabisaz na wale Vijana ni Vijana wa Diplomaz wenye Maisha magumu ndio Sababu sura zao zimechoka
Video zao wamezirekodi mtaani , nakuanza kuichanganya na video ya Mkutano wetu.