Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Wewe na Chadema yako ni wajinga sana. Yaani mnaamini kila mwana Chadema LAZIMA akubaliane na kilichoamuliwa na Kamati Kuu. Asipokubali, basi kanunuliwa, ni mamluki, ana njaa na matusi mengine yote mtakayofikiria. Halafu, mkitoka hapo mnaamini ninyi ni wanademokrasia? Ahahahahaha! Labda demokrasia ya Korea Kaskazini!!Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Umeingia choo cha walemavuWafuasi wa Chaddma ambao ni wanafunzi wa Vyuo vikuu walioshiriki mkutano mkuu wa CHASO wamesisitiza umuhimu wa Chama chao kushiriki uchaguzi mkuu huku wakisisitiza kuwa wanachotaka ni dola na sio maswala mengine.
Msimamo huu ni tofauti na msimamo wa chama chao wa kutoshiriki uchaguzi.
Hili ni shinikizo kali dhidi ya uongozi mpya wa Chadema chini ya Lissu,Heche na Mnyika.
Tusubiri tuone.
source:Manara Tv
Mbinu ya kishamba hii. Ni kichaa peke yake anaweza kuwaelewa mazuzu na pandakizi hawaKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Bandu BanduUmeingia choo cha walemavu
Wapuudhi flani wasiojielewa wanafikiria wanaweza kudannganya ummaMbinu ya kishamba hii. Ni kichaa peke yake anaweza kuwaelewa mazuzu na pandakizi hawa
Wapumbavu tu hao waende Chauma milango iko wazi tunakwenda na Tundu lissuKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Mgao unaendelea hadi chuo..Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
🤣🤣🤣🤣🤣. Kupata vichekesho kama hivi nibofye wapi?Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Wanaamini watapewa kipaumbele kwenye ajira🤣🤣🤣🤣🤣Mgao unaendelea hadi chuo..
Hawa nao ndio wanasoma waitumikie nchi🤣🤣🤣🤣🤣
Tutabaki na NO REFORMS NO ELECTION 😄mnawakataa wanachama wenu mtabaki na nani sasa?
ITV kwa sasa ni takataka imejichokea kama TBC wanatumika na sisitimu hovyo, utakuta mikutano mingi ya chadema hawaonyeshi wala kuzungumzia lakini wakotayari kuonyesha mrengo hasi wa kuihafifisha chadema ila hawatashindaKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
Ni baada ya kusikia kuna masufuria ya ubwabwa na mtori ya 15Bil kwa jiraniKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
kikundi cha hovyo hata neno pipozz tu ni taabu kuitamka kama mnataka dola nendeni kwa mwingerezaKuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi.
Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano
umefanyika na inaonekana ni mitaani.
Hao vijana wanaonekana si wanaCHADEMA , na mnachanganya na video za mkutano halisi wa chaso uliofanyika makao makuu.
ITV acheni kutumika,mtakufa vibaya.
Ombeni radhi kwa CHADEMA kwa uharibifu huu.
HAo vijana wanao.sema wanataka CHADEMA ishiriki uchaguzi, sio wana chaso, hao ni ccm waliopeqa bendera za CHADEMA.
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO) wameilalamikia CHADEMA kwa kukosa mikakati ya kuwahuisha na kuwa wanachama wake hai, jambo ambalo wamelieleza kuwa tofauti na namna vinavyofanya vyama vingine.Wakizungumza kwa nyakati tofautitofauti, wanafunzi hao wameeleza pia nia yao ya kuchagua na kuchaguliwa wakitanabaisha kuwa chama chao kinapaswa kurudi nyuma na kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 na kuachana na kampeni ya chama ya No Reforms No Election
Kwanza hakuna chaso aliyepewa bendera ya chama leo kwenyekongamano.
kwahiyo wahuni sasa ni mwendo wa kujipigia tu cyoSiyo CCM wote, Dude lishaamka tayari, Gwaji boy kashakata utepe.