Vijana wadogo wa kuajiriwa

Vijana wadogo wa kuajiriwa

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Kama yupo kijana mdogo, umri kuanzia miaka 18 hadi 20 asiyesoma shule, anayetaka kuajiriwa kwa ajili ya biashara ndogondogo kwa mshahara mzuri maeneo ya Tabata anitafute nimpe connection.
 
MKuuu kutumikisha watoto ni kosa kisheria, ukibainika kuwapa watoto mayai, Karanga nk wakauze huo mkataba wa ajira ni batili maaana mtoto hana mamlaka kisheria kuingia mkataba.
Mind you fanya kimia kimia lkn kwa level ya JF tunakuchana kwamba wewe unapaswa kuwa Nyuma ya Nondo kwa Unyanyasaji na kutumikisha Watoto sio jambo jema.
 
Kasema kuanzia miaka 18+
Elewa neno miaka 18 mpaka ishirini halafu hasomi
Sio under 18
 
Back
Top Bottom