Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa ufadhili wa masomo kwa vijana 1,000 wa Arusha.
Mkuu, naona mawazo yetu yalikuwa sawaπ
π€£π πMkuu, naona mawazo yetu yalikuwa sawaπ
labda ndo hawa wanaotukaba vichochoroni..πHivi wale vijana wa Kawe waliokwenda visiwa vya Ukinawa Japan ili wakarudi na meli 52 za uvuvi walifikia wapi
Siku bodaboda wa nchi hii wakijitambua CCM inaondoka saa 2 asubuhiHili kundi likielimishwa vyema CCM haitoboi
Tanzania imekuwa ikipeleka wanafunzi nje miaka na miaka. Siku hizi imekuwa ni tukio la kisiasa na kusifiana?Sawa wawape ufadhili wakasome ila wasilete propaganda za kisiasa ndani yake
πππ€£π π
Nchi hii ina mengi, unaweza kuona ameshinda interview kwa muonekano tu
Mambo hayawezi kuwa hivi siku zote. Kuna siku kitu kidogo kabisa kitaanzisha vurugu ambazo itachukuwa miaka na miaka kuzituliza. Huwezi kuwadanganya watu, tena viajana kwa muda wote. Hizi sanaa zao zote hazitafua dafu.Siku bodaboda wa nchi hii wakijitambua CCM inaondoka saa 2 asubuhi
πππlabda ndo hawa wanaotukaba vichochoroni..π