PreGE2025 Vijana wafurika kwa Makonda kufanya 'interview'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Haya ndio mambo wananchi wanataka sio kelele hewa za maneno matupu ya no reform no election
 
Nchi kama aina serikali kuu kwa sasa.

Waziri wa mambo ya nje yupo wapi, wizara isiwe na habari ya scholarship taahira mmoja awe nazo.

Hao watoto wanaenda kusoma vyuo gani, viko wapi, wanajikimu vipi, quality ya makazi ikoje.

Msiende peleka watoto wa watu huko wakaishia kufanywa slave labours na kunyofolewa mafigo, kisa taahira mmoja anatafuta sifa za kishamba.

Nina unahika kwa nchi kama Tanzania waziri wa mambo ya ndani wala jeshi la polisi awajamwita bado Makonda kuomba maelezo kutoka kuhusu usalama wa hao watoto anaotaka kuwapeleka huko wasio na ndugu wala jamaa.
 


..balozi wa India amefika vipi kwa mkuu wa mkoa bila kuwasiliana au kuishirikisha wizara ya mambo ya nje?

..imekuwaje serikali ya India ikatoa ufadhili / msaada kwa mkoa, badala ya nchi?

..inaelekea hata mamlaka za nidhamu za mkuu wa mkoa zimekufa ganzi.
 
Sio movement mbaya, shida ni huyo anayoisimamia..ana agenda zake za SIRI
 
Kwa bahati mbaya kwa nchi za ki Afrika ikiwamo Tanzania watu design ya Makonda,,hupigwa vita sana....manake wamebeba majibu ya wengi.
 
Na vijana hao wamemuamini kabisa Bashite! Ujinga bado ni tatizo.
 
Changamoto hapo itakuwa ni pesa sababu apo kuna issue za passport visa sijui insurance naa vizaga vingine kibao ambavyo watoto wa maskini ambao hata kula yao ni tabu sijui kama wataweza
 
Punguza ujuaji wewe

Scholarship huwa zipo ila wizara huwa zinaficha ili wapeleke watoto wao na huwa na urasimu sana tu zikipitia mawizarani

Mpuuzi wewe ulitaka zipitie huko kama kawaida yenu mzitoe kwa upendeleo na rushwa

Mbona zinazoletwa kwenu huwa hamuendi vyombo vya habari kutangaza wazi watu waombe? Maruhuni wewe

Scholarship kibao huishia tu nyingine kupotea bure bila kuombwa na mtanzania yeyote wakati watu wapo

Makonda anapenda uwazi kaamua kuzianika hadharani mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…