ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakati wanawake wanazidi kuwa warembo na wanahitajika kushughulikiwa ipasavyo Kwa upande wa wanaume Hali inazidi kuwa mbaya kufuata wengi wao kukosa Nguvu za kiume na kupelekea matumizi makubwa ya Viagra na Vega Ili kuji boost wasiaibike kitandani wakiwa na mashangazi wao na Mabinti.
My Take
Vijana Hawa wanaofugwa kama broilers hawawezi kuwa na Nguvu za kiume ikizingatiwa hawataki kazi za mikono.
No way out wanawake watanunua midoli Ili kuwapa wanachokitafuta.
My Take
Vijana Hawa wanaofugwa kama broilers hawawezi kuwa na Nguvu za kiume ikizingatiwa hawataki kazi za mikono.
No way out wanawake watanunua midoli Ili kuwapa wanachokitafuta.