ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Daaaaah wazee wa kimoja chali tunaandamwa bila hata kuingizwa jandoniWakati wanawake wanazidi kuwa warembo na wanahitajika kushughulikiwa ipasavyo Kwa upande wa wanaume Hali inazidi kuwa mbaya kufuata wengi wao kukosa Nguvu za kiume na kupelekea matumizi makubwa ya Viagra na Vega Ili kuji boost wasiaibike kitandani wakiwa na mashangazi wao na Mabinti.
View attachment 3594935
My Take
Vijana Hawa wanaofugwa kama broilers hawawezi kuwa na Nguvu za kiume ikizingatiwa hawataki kazi za mikono.
No way out wanawake watanunua midoli Ili kuwapa wanachokitafuta.
Kaka nishawahi kutumia shida ni ile kumwaga raundi ya pili nikaacha saivi nimeamua kuwa naturalSasa kama mimi mpenda mashangazi utaniambia nini..
Bila viagra au kifurushi mimi sitoboi aiseee
Toeni suluhishoVijana hawatafuti kazi
Vijana hawana kipato.
Kama hawana kipato automatically hawawezi kuwa na nguvu za kiume kwani lishe itakuwa duni.
Vijana Siku hizi Wana fikiria kuwaridhisha wanawake. Yaani wao ndio wamekuwa wanawake badala ya wanawake ndio wahangaike kuwafurahisha wanaume.
Hii inamaanisha vijana wamepoteza Ile hali ya mfumo dume, kujitegemea, kuwa provider.
Hakuna kazi rahisi kama kumfikisha mwanamke kileleni.
Hizo ndo bure kabisa maana huwa mnamix na viagraWaambie pia kuna booster za mimea kama zitawafaa nitawapatia buuree kabisaaa
Au mpaka tuje PM mkuu, Embu toa utaratibuWaambie pia kuna booster za mimea kama zitawafaa nitawapatia buuree kabisaaa
Utatangazwa hukoAcha nibaki na view once yangu.
Inasikitisha sana !Sio mbaya, ww tafuta njia yako ya furaha pita nayo, utajua huko huko
Haaaaaaah mtake radhi kesho EidNaskia Chizi Maarifa nae ukiweka kweny donat ili apate nguvu ya kurusha tope mbali akikamiwa
Nenda kwenye agrovet yyte ile we sema tu nataka booster utapewa hlf nirushie lipa nambaAu mpaka tuje PM mkuu, Embu toa utaratibu
Ndo maduka ya dawa asilia hayo au vipiNenda kwenye agrovet yyte ile we sema tu nataka booster utapewa hlf nirushie lipa namba
Duh google basiNdo maduka ya dawa asilia hayo au vipi