Vijana waiomba Serikali wawape Uhuru wa sehemu wanazofanyia biashara ndogondogo

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Your browser is not able to display this video.

Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi.

Vijana hao wamesema kutokana na elimu yao kuwa ya kawaida wanatumia ujuzi huo kujikimu kimaisha ikiwemo kusomesha watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…