SoC01 Vijana wajishughulishe na plastic welding/ kuchomelea vifaa vya plastics

SoC01 Vijana wajishughulishe na plastic welding/ kuchomelea vifaa vya plastics

Stories of Change - 2021 Competition

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwanini plastic welding?
1. Ni shughuli ya mtaji mdogo
2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique
3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers kwa bei ya chini sana maana hawajui watavitengeneza vipi.
4. Ni shughuli yenye kipato cha haraka na uhakika

ZANA ZINAZOHITAJIKA KWENYE MLADI WA PLASTIC WELDING
1. Eneo lolote kwenye miji iliyochangamka
2. Frame ya kutunzia vifaa
3. Umeme au vyanzo vya moto vya uhakika
4. Drilling guns, hizi za kutobolea plastics Kwa ajili ya kushona chombo au kifaa cha plastics
5. Soft wire meshes za kushonea vifaa vya plastics kv viti, meza na ndoo
6. Gundi kwa kudundishia

UPATIKANAJI WA WATEJA
Baada ya kuwa umekamilisha taratibu zote za kufungua biashara, tengeneza platforms za kujitangaza, mfano
1. Anzisha Facebook group na washirikishe members kuhusu kazi yao Kisha watake washare kwenye groups zingine
2. Anzisha Instagram account, post kazi zako na omba shares nyimbo kwa wafuasi wako
3. Tembelea mitaa inayokuzunguka kuomba kazi ya kurepair vifaa vilivyoharibika

UPATIKANAJI WA MTAJI
1. Vijana wanaweza kuunda kikundi cha watu wasiozidi 10 Kisha wakaandaa proposal na kuipeleka ofsi za harimashauli yao kuomba mkopo
2. Kutafuta ufadhiri kwa watu wenye uwezo, mhimu proposal yako uiandae vyema
3. Kuomba kuchangiwa na ndugu, jamaa na marafiki
4. Kulima kwa msimu hata mmoja kuongeza mtaji wako

Mimi nimeonyesha namna unavyoweza kuendesha shughuli yako/yenu mhimu ielewe shughuli yenyewe maana Nina ushahidi wa kutosha watu wanaofanya plastic welding wana kipato cha uhakika

Ahsante.
0785663328
 
Upvote 2
Tafadhari nipigie kura yako, Kama nitashinda, zawadi hii nitaielekeza kwa watoto wenye cerebral pulsy/ mtindio wa ubongo kwasababu ni kundi lisilopewa kipaumbele sana hata imepelekea wazazi kuwaficha watoto wao ndani nakuwanyima haki zao za mhimu ikiwemo elimu
 
Nimeshasoma vigezo vya makala, hawajasema isipungue maneno kadhaa hivyo jikite kwenye mada, je niwazo zuri?
 
Back
Top Bottom