Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Inawezekana kama ungekuwa na ofisi, hata hizo tano usingeuza; baadaye ilikuwaje?Nakumbuka nishafanya biashara ya nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa wa kuuza simu ndogo zile za batani ndani ya wiki moja nikauza simu 5 nikaona huu ufala,biashara bila ofisi maalumu ni utopolo kama utopolo mwingine
Fani ni muhimu, ingawa tunaweza kuwa na fani na tusizitumie piaNi kweli mkuu aibu inakwamisha vijana,Ila Dunia ya sasa inafocus kwenye fani ni vyema na haki vyema tukazane kupata ujuzi zaidi.
Kwa namna moja ama nyingine ilikupeleka hatua nyingineKwa siku nilikuwa napata 5000 aub7000 ukitoa hela ya chakula wari na maharage 1500 na maji ya kunywa ya buku unabakiwa na 2500 yaani bure kabisa
It's not fair kudharau mawazo ya mtu kama una hoja leta tupime uzito wa hoja zakohuu uzi wa ovyo kuwahi kutokea duniani. Na una fikra za kimasikini
Kachokoza kama kianzio.Sasa weye boresha.Unavyoandika as if hizo shughuli hatuzijui au hatuwajui wanaozifanya huku kitaa, mnaandika mambo kirahisi rahisi sana ndio tatizo lenu, wewe ushatembeza hizo bidhaa?
[emoji3516]Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu kipatikane.
Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k
Na hizi shughuli, nguvu yako ni kuzunguka mtaa kwa mtaa; kama kijana ataamua kuweka aibu chini na kuingia sokoni, ataweza kujikimu kwa mahitaji yake.
Wangapi wanaweza kufanya hizo shughuli?
😂zinakopa sana
shida vijana hawapendi kuanzia chini