Umenena sawa kabisa, sema ndo hivyo kila zama na kitabu chake, sasa hivi wengi wanakuwa na mahusiano ambayo hata wenyewe wahusika hawajui yanahusiana na nini!! Ndo maana vibinti vingi vimezalia kwao
Na watu walirudi kijijini kuoa kwa familia inayojulikana kitabia na magonjwa sikuhizi wanakutana mjini na ndoa hazidumu daily tunatafta mchawi, Ile ya kuoana wa kabila Moja mnaojuana kitabia ilisaidia tofauti na hizi intermarriages za sikuhizi