Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,898 Reaction score 40,547 Apr 23, 2026 #1 Umejaribu kubalance lakini hesabu zinakukatalia. Zaidi umejichafua tu kupalilia uongo.
Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,709 Reaction score 10,896 Apr 23, 2026 #2 Hakika ni za kwetu
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Apr 23, 2026 #3 Hivi watanzania milioni 60+ hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kutengeneza drones kama zile za Iran?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 23, 2026 #4 Uongo ni kipaji. Kama huna hicho kipaji utaumbuka dakika 0