Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao.
Pia soma: Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT
Tunaanza kushuhudia mapinduzi makubwa yatakayoletwa na vijana kwenye uwajibikaji wa serikali?
Vijana kuachana na uchawa na kuwa nguzo muhimu ya kuleta maendeleo nchini na kuhakikisha tunapata viongozi bora wa kutupeleka kwenye Tanzania tuiotayo na kuitaka?