Ni huzuniMtu amekosa ajira anayo miaka 35, mjinga mmoja anawaibiwa wananchi kodi yao anaishi maisha ya anasa kwa kutembelea gari ya 200milioni na kulishwa bure...kodi bure, then ananyanyuka na kupayuka kuwa vijana wanakosea wakati hawaoni future yao.
Lazima kila mtu aupinge huu mfumo ovu, Tanzania kuna koo kama 7 hivi ndiyo zinafaidi matunda ya uhuru wengine tunasindikizaWakuu,
Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao.
Pia soma: Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT
Tunaanza kushuhudia mapinduzi makubwa yatakayoletwa na vijana kwenye uwajibikaji wa serikali?
Vijana kuachana na uchawa na kuwa nguzo muhimu ya kuleta maendeleo nchini na kuhakikisha tunapata viongozi bora wa kutupeleka kwenye Tanzania tuiotayo na kuitaka?
Kenya wameleta somo zuri snSafi sana.
Viva vijana viva.
Vijana tustawi.
Amini amini nakwambieni ni vijana wajanja fulani hapo wameamua kuwatumia wenzao ili kuweza kufikia juu na kutimiza malengo yao.Wakuu,