Vijana wameanza kuamka

Vijana wameanza kuamka

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Naona sasa vijana kwa mara ya kwanza wameanza kuamka na kuelewa kwamba mambo mengi ni kwasababu yenu. Piganeni kwa katiba mpya.


 
Vijana mawazo wanayo sana ila pa kuyatoa ndo tatizo.

Media za udaku na michapo ndo nyingi sana, siasa pia imeharibu mno watu kuto mawazo yao.

ITV wanafanya poa sana kwenye hicho kipindi chao, kama kikipewa promo basi hakina muda mrefu kinapigwa ban.
 
Ngoja wazee waje humu baada ya Nap zao. Utawasikia Ujana wao.

Halikadhalika...

Waache waamke tu na wahakikishe CHADEMA haileti taharuki nchini.
 
Tatizo la Hii nchi ukisema kitu negative tuu kwa serikali unaonekana mbaya
 
Hata ikinyesha mvua ''utasikia mama anaupiga mwingi'' ndio hoja wanazo taka sisiemu hizo kutoka Kwa vijana
 
Hii ndiyo mijadala tunayopenda kuiona ikifanyika

Ova
 
Katiba haileti chakula mezani. Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi.

Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale
 
Back
Top Bottom