Kijana Nkaburu hebu ifanyie hii kaziKatiba haileti chakula mezani.
Haswa. Hapendwi mtu.Kijana pambana kutafuta hela na kufanya kazi kwa bidii badala ya kusikiliza wanasiasa wanaotaka wafaidike binafsi.
Hiyo ni fact.Kenya wamebadili katiba lakini umaskini upo pale pale
Katiba haileti chakula mezani