Vijana wamejibana ili wapate mtajiwa biashara Mnawaita Machinga ingawa wote si kutoka Mtwara

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Ndani ya Bongo mambo Supa hapana
uongo
Ingawa sometime bongo chungu
kama si fongo
Nafanya makaratee kama machinga
mtraa wa Kongo
Na kimitindomitindo nakata ngebe
kimtimanyongo
Hapana matata kiut roho inapenda
utapata
Bongo Dar es Salaam ni mpeto wa
kutakata
Nenda viwanja vikali vya Bongo
ustaajabu
Pia SLip way, Blue Palm au Mambo
Club
Kama hujazoea unaweza ukavunja
shingo
Mambo ya ISidingo, watu mkononi
Nokia Ringo
Huwezi kujua yupi mtoo wa geti
yupio changu
zi kujua yupi mtoo wa geti yupi
Wote wanameremeta kama mamtoni
mwanangu
Dili zinapoyeyuka wabongo tunalia
ukata
Subiri kichapo chake pale mbongo
anapozipata
Mwendo wa kiti kirefu njiani na
nyama choma
Na toto mbili tatu za geti au za kona
Hii watuwa pombe tunasema
napoteza mawazo
Lakini mara hutokea wakati unazo
Watu warumba kali sa moja shuka
utosini
N akujifanya uawazamambo mengi
ofisini
Pitia pitia night kali mitaa ya
Kinondoni
Kinadda nusu uchi fegi kmdomoni
Na kama una gari watajazana
madirishani
Mpaka uose hewa wote wanataka
hisani
Kwenye madaladala kuibiwa ni
kawaida
Vaa cheni shingoni, saa mononi utoe
faida
Wacha wazi kisha ukatize Manzese
Uwape mateja mtaji waende
machimbo wakatese
Rudi Mwananyamala Ooh Mateja
kibao
Katiza saa moja moja uone roba za
mbao
Utaona kama mtoa roho yuko karibu
yako
Ni heri utoe chochote ili uokoe
maisha yako
 
Attachments

  • machinga+mgambo.jpg
    39.9 KB · Views: 240
wakati wimbo unatoka nilikua nasoma bunge primary bado mtoto sana ila nilikuwa mjanja wa town, mwendo ni UDA alafu wale membaz wengine wa HARD BLASTERS CREW kama Fanani na Bigi wapo jamani. Kuna diplomats walikua wa tambaza akina Saigon. Dah asee long time MstahikiMeya
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiyo muasisi wa rap bongo maana long time kitambo, wenzake hata hawajulikani walipo japo wengi wametimkia ng'ambo kina Ramso, Nigga one (rip) Robby alikuwa teja #Kwanzaunit
 
Huyu ndiyo muasisi wa rap bongo maana long time kitambo, wenzake hata hawajulikani walipo japo wengi wametimkia ng'ambo kina Ramso, Nigga one (rip) Robby alikuwa teja #Kwanzaunit

Prof Jay sio mhasisi wa rap bongo..uwe unatafiti kabla ya kueleza.
 
Yaah hii ngoma huwa imetulia balaa,na ina maujumbe ya kutosha.
 
Prof Jay sio mhasisi wa rap bongo..uwe unatafiti kabla ya kueleza.

Vikundi vya kwanza vya rap bongo ni Kwanza unity na Diplomatic kipindi kile wana rap kizungu, na Nigga J (proffesor J) alikuwa alikuwa ktk kundi la Diplomatic, ndiyo maana nikasema ni mmoja kati ya waasisi wa Rap nchini.
 
umeona sasa! Prof Jay hajawai kuwa Diplomatz..sema haufaamu usaidiwe.
 
Leo twakutana wapii hun

Nilikuwa movie mliman city my love nilipotoka nikakaa samaki samaki kuangalia Engish premium League! I have no where to go my love! Uko wapi nikufuate? We have to fly together tonight.
 
Nilikuwa movie mliman city my love nilipotoka nikakaa samaki samaki kuangalia Engish premium League! I have no where to go my love! Uko wapi nikufuate? We have to fly together tonight.

Oh hun kuja pm sasa
 
Vikundi vya kwanza vya rap bongo ni Kwanza unity na Diplomatic kipindi kile wana rap kizungu, na Nigga J (proffesor J) alikuwa alikuwa ktk kundi la Diplomatic, ndiyo maana nikasema ni mmoja kati ya waasisi wa Rap nchini.

nigga J hakuwepo Doplimatz, member wa mwisho wa Diplomatz alikuwa Balozi Dola Sol.
 
umeona sasa! Prof Jay hajawai kuwa Diplomatz..sema haufaamu usaidiwe.

Sorry mawazo yangu yote yalikuwa ktk mpira!
Prof J hakuwa Dipromatz ila alikuwa Hard Blasterz.
Dipromatz lilikuja baadae.
 
Na mbaya kuliko zote mnapovunja vibanda vyao wengine walikuwa wezi je warudie zama zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…