Vijana wana chambua ngono kama mechi ya simbasc vs yanga sc

Vijana wana chambua ngono kama mechi ya simbasc vs yanga sc

Prince_Nurudin_Tz

Senior Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
172
Reaction score
133
1728652177400.jpg
uchambuzi wa VIJANA wa 2000 huko Facebook
 
K((() eK

unaona unachotafakari .

Kweli kabisa mkuu
Unaona unachokiangaza

Mimi naishi Temeke mwaka 04 sasa Ila sehemu ambayo huwa naenda kununua Chakula na mboga Nyuma yake kuna Danguro -wanajiuza Dada zetu .

Ila Mimi sijawahi kuwaona huwa nasimuliwa kupitia hapa Jamiiforum na mtaani .


Lakini kuna MTU anatoka kibaha kulifata hilo danguro na anajua kila kinachoendelea.


So in life what you see is what you reflect .

Mambo mengi ili yakuathiri ni mpaka utakapoamua kujihusisha nayo.
 
Hii wanaita mazoea hureta tabia
Yaani kitu ukikizoea zoea sana
Ndio inakuwa tabia yako
 
Nyinyi watoto mliomaliza Chuo mwaka huu, na JF joined 2024 elekezeni akili zenu kutafuta kazi za kufanya huu upuuzi mnaotuletea wazazi wenu tutawalaani.
Jf nimeitumia toka 2013

Na kumbe kureata hoha apa jukwaani ni upuuzi
 
Back
Top Bottom