Vijana wana mambo mengi, katika uchumba hawezi kukuambia yote, wiki moja baada ya ndoa ndio anakuambia "bebi mimi na mtoto"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika.

Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika umri wa 16-29 ni siri yake mwenyewe.

Point yangu kubwa ni kuwa kuna mambo mengi katika ujana wa kisaasa tunayoyafanya na kuacha alama ya milele katika maisha yetu, wengine wana kuwa resistant kuwaambia wenza wao kwa kuogopa kuachwa.

Alafu sijui kwanini lakini watu wanapoana tena kwa muda mfupi ndio anaanza kugundua mambo mazito kuhusu mwenzake. Ninaamini hii ni moja ya sababu vijana kuachana within months.

"Nina mtoto"
"Sina uwezo wa kuzaa (alitoa mimba sana)"
"Nina mke mwingine ili aishi hapa na ana watoto"
 
Tuseme tu kwa sasa MAJI YAMESHALOWANA Huko tiktok ukiingia mishale ya saa7 usiku ndo utajua kama una mtoto wa kike na ana smart jua kabisa umeshapoteza kwa % kubwa awe mwanafunzi au la.

Mimi niliwahi kutana na mtoto wa ndg yangu anapandisha watu Live huko Tiktok. Nilimpigia bro usiku huohuo na kumuuliza kama ana acc ya Tiktok aingie kwa link hii bahati mbaya akawa hana hiyo account ila akaniambia naweza kwenda kwakwe au yeye aje nikamwambia nakuja mwenyewe...

Alijionea mwenyewe mbaya zaidi hakuwahi kujua kama mtoto wake ana smart ....
 
Aisseee alimchukulia uamuzi gani mkuu?
 
Ukweli unakuweka huru. Ukikutana na mtu mjinga ndie huwa anaogopa kuambiwa ukweli ila mtu anayetumia Hekima huwa ukweli anaupokea na kuufanyia kazi.

Kukaa na mtu ambaye anaficha mambo huku hayo mambo akijua ni ya utata na yataleta mitafaruku siku za baadae
 
Hakika
 
Kwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika.

Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika umri wa 16-29 ni siri yake mwenyewe.

Point yangu kubwa ni kuwa kuna mambo mengi katika ujana wa kisaasa tunayoyafanya na kuacha alama ya milele katika maisha yetu, wengine wana kuwa resistant kuwaambia wenza wao kwa kuogopa kuachwa.

Alafu sijui kwanini lakini watu wanapoana tena kwa muda mfupi ndio anaanza kugundua mambo mazito kuhusu mwenzake. Ninaamini hii ni moja ya sababu vijana kuachana within months.

"Nina mtoto"
"Sina uwezo wa kuzaa (alitoa mimba sana)"
"Nina mke mwingine ili aishi hapa na ana watoto"
Tatizo tukiwaambia ukweli hamtu oi ndo maan tunadanganya,na mwingne unaweza kuishi naye ata miaka 3 ndo akakwambia kua ana mtt au aliwahi kuoa/kuolewa ndoa ikamshinda
 
🤣🤣

Karibu ubwa bwa wa jana, ila una ukoko ndio mwingi
 
kwenye swala la kuzaa kutoa mimba na kupigwa miti na wanaume tofauti tofauti hilo hunidanganyi labda tabia zingine..... ambapo nazo naweza zijua nikikaa vizuri na huyo dem.....

watu wengi wanapofushwa na mapenzi ila ndoa ni kitu cha kukaa na kuamua nani na kwanini uwe nae ukiolea nyege au uzuri wa dema baaaaaaasssss umekwisha.

alafu kitu kingine akili ya mwanamke ndio itatathmini hiyo ndoa ni imara au mdebwedo
 
Back
Top Bottom