Lete ushahidi kwa faida ya wana jf wote na vizazi vijavyoUkilala na Mwanamke aliyewahi kuzaa Radha yake ni tofauti na ambaye hajawahi kuzaa labda kama ww sio mtaalamu wa ****
Aisseee alimchukulia uamuzi gani mkuu?Tuseme tu kwa sasa MAJI YAMESHALOWANA Huko tiktok ukiingia mishale ya saa7 usiku ndo utajua kama una mtoto wa kike na ana smart jua kabisa umeshapoteza kwa % kubwa awe mwanafunzi au la.
Mimi niliwahi kutana na mtoto wa ndg yangu anapandisha watu Live huko Tiktok. Nilimpigia bro usiku huohuo na kumuuliza kama ana acc ya Tiktok aingie kwa link hii bahati mbaya akawa hana hiyo account ila akaniambia naweza kwenda kwakwe au yeye aje nikamwambia nakuja mwenyewe...
Alijionea mwenyewe mbaya zaidi hakuwahi kujua kama mtoto wake ana smart ....
Kipigo tu na kuvunja hiyo smart alikuwa mwanafunzi form6Aisseee alimchukulia uamuzi gani mkuu?
HakikaUkweli unakuweka huru. Ukikutana na mtu mjinga ndie huwa anaogopa kuambiwa ukweli ila mtu anayetumia Hekima huwa ukweli anaupokea na kuufanyia kazi.
Kukaa na mtu ambaye anaficha mambo huku hayo mambo akijua ni ya utata na yataleta mitafaruku siku za baadae
Vipi aliyewahi kutoa mimba mkuu?Ukilala na Mwanamke aliyewahi kuzaa Radha yake ni tofauti na ambaye hajawahi kuzaa labda kama ww sio mtaalamu wa ****
mimi sivunji simu nacho fanya naiuza kisha hela natafutia mbususu nijipozeKipigo tu na kuvunja hiyo smart alikuwa mwanafunzi form6
Hata mimi siwezi vunja naomba password naishi nayo pia namkomalia aliye mnunulia amtajemimi sivunji simu nacho fanya naiuza kisha hela natafutia mbususu nijipoze
Tatizo tukiwaambia ukweli hamtu oi ndo maan tunadanganya,na mwingne unaweza kuishi naye ata miaka 3 ndo akakwambia kua ana mtt au aliwahi kuoa/kuolewa ndoa ikamshindaKwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika.
Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika umri wa 16-29 ni siri yake mwenyewe.
Point yangu kubwa ni kuwa kuna mambo mengi katika ujana wa kisaasa tunayoyafanya na kuacha alama ya milele katika maisha yetu, wengine wana kuwa resistant kuwaambia wenza wao kwa kuogopa kuachwa.
Alafu sijui kwanini lakini watu wanapoana tena kwa muda mfupi ndio anaanza kugundua mambo mazito kuhusu mwenzake. Ninaamini hii ni moja ya sababu vijana kuachana within months.
"Nina mtoto"
"Sina uwezo wa kuzaa (alitoa mimba sana)"
"Nina mke mwingine ili aishi hapa na ana watoto"
πππ€£π€£
Karibu ubwa bwa wa jana, ila una ukoko ndio mwingi