Vijana wana mambo mengi, katika uchumba hawezi kukuambia yote, wiki moja baada ya ndoa ndio anakuambia "bebi mimi na mtoto"

Past ya mwanaume ambayo haivumiliki ni ushoga tu. Kama maisha yake ya nyuma alishawahi kushikishwa ukuta ilo ni doa ambalo halisafishiki.

Ila kwa mwanamke ndio kuna mengi sana ambayo ukiyagundua tu piga chini hapo. Mbaya zaidi hawa wsnzetu wanaingia kwenye dating pool mapema sana. Demu wa miaka 14 ashaanza kupelekewa moto, wakati kijana wa kiume umri huo hata mademu anawaogopa
 
Kijana wa miaka 14 akijitahidi sana, anaanza nyeto
 
Em tupe ilimu zaidi chief
 
Unatakiwa kusema vyote kwa ukweli mtu afanye maamuzi sahihi kudanganya sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…