Vijana wanahitajika

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Habari wana jf.
Ofisi inafanya renovation, wanahitajika vijana wachapa kazi wenye ndoto za kufanya kazi zao binafsi na kukua.ofice iko dar inajihusisha na kutoa huduma kwenye mashule na vyuo.
Karibu uwe sehemu ya vijana watatu wenye kuumiza vichwa kujikomboa kwa biashara mpya tanzania.
Kama unajiamini unaweza kujituma ila umekosa vianzia.
Fika magomeni Dar es salaam kesho 15/09/2012 kuanzia saa nne kamila hadi saa nane kamili.
Uwe unakazi au huna cha msingi unajiamini pia elimu ya enterprenour by born or made.
For more: 0753-810857.
 
Acheni woga wala kuponda au nyie mnakazi mnaoponda
 
Acheki kuvunja watu moyo, kama wewe umeona kuwa hiyo kazi haikufai kaa kimya, hata kama ingekuwa kazi ya kuuza maseni mbona kuna watu wanifanya?
Tuache tabia ya kudharau kazi, huwezi kujua kuwa ktk kazi hizo za kuuza vyombo ndio sehem wengine wanatokea.
Kuna jamaa yangu mmoja kule Mwanza wakati nasoma alini support sana. Yeye alianza ktk kampuni hizi za kuuza vyombo vya majumbani kama mechandizer yeye alichokifanya alichukua ile knowledge aliyoipata pale baada ya miezi mitatu akaacha ile kazi akawa anaenda kununua hivyo vyombo kwenye maduka ya jumla kisha anaenda anawauzia watu mtaani, baada ya muda mtaji ukakua akawa anapeleka vitu mikoa Mara, Bukoba na Shinyanga. Kwa sasa ni ana duka lake kubwa amejenga nyumba Mwanza anaishi huko.
Wito wangu: Tuache tabia ya kudharau kazi kama wewe unaona haikufai acha wengine wafanye.
Thanks
 
Wakuu changamkieni kazi hiyo. Hapo ni mzigo wa peni za cello au za obama.
 

changa la macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…