Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB.

Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
 
Kiongozi vyuo vinaanza funguliwa tarehe 23/10 so sijajua chuo gani wamefungua mapema ivo
 
Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
 
Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
Kweli kbs, ingesaidia sn
 
Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
Kwenye hilo nakuunga mkono wangekua wanajitaidi kutoa majibu mapema
 
Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
asante kwa kumjibu #2 GERRY12
 
Mpk kufikia ijumaa tarehe 20 tutapata updates
 
Back
Top Bottom