Kiongozi vyuo vinaanza funguliwa tarehe 23/10 so sijajua chuo gani wamefungua mapema ivoUchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB.
Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?Kiongozi vyuo vinaanza funguliwa tarehe 23/10 so sijajua chuo gani wamefungua mapema ivo
Kweli kbs, ingesaidia snKuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
Kwenye hilo nakuunga mkono wangekua wanajitaidi kutoa majibu mapemaKuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
Yaaane tumemaliza advance since 2019 hatujaenda coz mkopo hatupatiKwenye hilo nakuunga mkono wangekua wanajitaidi kutoa majibu mapema
Je vigezo unavyo mkuu? Vya kupata mkopoYaaane tumemaliza advance since 2019 hatujaenda coz mkopo hatupati
asante kwa kumjibu #2 GERRY12Kuna baadhi ya vyuo tangu wameanza usajili wana wiki na hivyo kwa sasa wapo kwenye orientation. Na ili kusajiliwa inatakuwa mwanachuo awe amefanya malipo ya awali ya school fees let's say 1m. Na masomo yanaanza rasmi tarehe 23 Oktoba. Hata hivyo kwa nini kitendawili cha kupata au kutopata mkopo kisiwe kinateguliwa mapema kabla ya usajili wa wanachuo huko vyuoni?
Nahisi leo chochote chaweza kutokeaMpk kufikia ijumaa tarehe 20 tutapata updates
Kwakweli ht kuanzia leoNahisi leo chochote chaweza kutokea