Vijana wanaopendwa kutunzwa na Mimama

Vijana wanaopendwa kutunzwa na Mimama

wasichana wengi siku hizi wako after money,hawana mapenzi ya kweli kwa vijana wenzao wapo kimaslah zaidi,bora nijichotee jimama la nguvu halina sound!!!
 
kwani kuna ubaya gani? hakuna tatizo lolote bwana!
 
wasichana wengi siku hizi wako after money,hawana mapenzi ya kweli kwa vijana wenzao wapo kimaslah zaidi,bora nijichotee jimama la nguvu halina sound!!!

Nakubaliana na wewe gharama za kuwa na jimama ni ndogo kulinganisha na hawa mabinti!
 
sabb ajira za wanaume wanapewa wanawake,kwa kwa kutmia misemo kibao,mala o ooh wakiwezeshwa wanaweza,mala oooh aslimaa 50 kwa 50 makazini.na ile ya mwanamke akigongana point na dume kwenye matokeo yamtihan *anakwenda dem mwanamme anabak kitaa.
 
Mmetofautiana na lengo la muuliza swali
Kumbuka mwanzoni ulichangiaje



Hivi toka mimba inapotungwa tumboni huwa inatunzwa na nani na mpaka mnapozaliwa mpaka kukuwa kwenu na mpaka mnapozeeka mnatunzwa na nani? kuweni wa kweli. Mijanadume kutunzwa na "mi mama" hakukuanza leo wala hakutakwisha leo, ni "nature". Ni nani kati yenu toka anapokuwa tumboni mpaka hapo alipofika ambae hajawahi kutunzwa na "miji mama". Hiyo "miji mama" ndio mama zenu hao na mkiwaongea mfanye heshima na adabu, msijione leo mna uwezo wa kubofya hizi keyboard mkasahau waliowatunza toka tumboni.

Hao baba zenu wanatunzwa na nani? Mnanchekesha!
 
FaizaFox kwa kusema "mijimama" nilikuwa namaanisha "shugamami" na si vinginevyo. My apologies if you got me wrong!
 
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina ya vijana kadhaa mtaani wenye tabia kama hizi. Mnaweza kunisaidia sababu za tatizo hili?[/QUO
sababu kubwa ni kwamba nao wanataka kulele na mimama period! jamani kunya anye kuku akinya bata aah kaharisha!!! kwa miaka mingi tumeshuhudia tabia ya kina baba watu wazima kulea visichana vya umri wa watoto wao kama si wajukuu na hata kuoa kabisa, watu wengi walikuwa kimya kuhusu hili, sasa mabadiliko yamekuja... kinamama nao tumeamka tunataka kulea vitoto vyetu vya kiume sasa tatizo liko wapi? tuacheni jamani tule raha zetu hayo ni mabadiliko tu ya tabia nchi tena mtegemee makubwa zaidi na wanaume muwe wapole tu msianze kelele!!!
 
Waacheni vijana waende, huko ndiko wanakopata pumuziko lisilo na bughuza.
 
Back
Top Bottom