GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
SAWA.Ngoja nichek mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWA.Ngoja nichek mkuu
Kuna kutapeliwa kwingine kizembe sana,hasa wabongo wanatapeliwa kibwege sana.
ukihadithiwa utapeli mwingine utashangaa huyu katapeliwa au kaamua tu kutoa simu,fedha au mali yake!
kuna dada kakutana na watu wawili ke na me barabarani wakamwambia wanauza dhahabu,wakamshawishi akapewa iyo dhahabu kisha yeye akawapa simu pesa kidogo na mkoba wake,uyo dada kawapa simu akasahau kutoa laini na kwenye mkoba pia kulikua na vitu vyake vya kujipodoa na vitamburisho akawapa mkoba kama ulivyo.
wale jamaa bado tena wakawa wanatumia laini yake kuomba pesa ndugu za uyo dada kupitia namba alizosevu kwenye laini kwa kuwatumia sms na namba nyingine ya kutuma iyo hela waayoomba.naadhi ya ndugu wakatuma.
yule dada nilimuuliza "wewe dada ulieda shule kusoma ili akili yako iwe ya kizembe kiasi hiki au ao matapeli walikuroga?",akaanza kulia tena
Nashangaaa hapooKumbe inawezekn fedha kuibiwa pasi na kujua namba Ya siri?
Hii ni kweli kabisaaaa.Pia wanatumia kitambulisho chako kusajilia lina zaidi ya moja unapo mpa namba yako ya Nida akianza kusajilia atakusajilia line yako....pia atasajili line zaidi ya moja kwa Namba yako ya Nida,atajifanya kama fingerprint hazisomi vizuri atakwambia urudie rudie kumbe ndio anasajili line zingine,Mimi nimesajiliwa line Tigo Moja,ila nikiangalia usajili wa line kwa namba yangu ya Nida kuna namba mbili za Tigo Moja siitambui,Airtel nilisajili Moja ila zipo tatu mbili sizitambui.
Kuna Dogo alikuwa anasajili line anathibitisha ni kweli,Hapo inatakiwa uende kwenye maduka ya mitandao husika ukafute namba usizozitambua.
Hawa vijana ni wezi....jiulize zile line wanazoziuza zimeshasajiliwa vitambulisho au Namba za Nida huwa wanazitoa wapi?
Kumbe inawezekn fedha kuibiwa pasi na kujua namba Ya siri?
Ni nchale tu,mwanzo mwisho.Yaani ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukikimbia nchale sijui tutaponaje hata!
duh aiseeHapana ukiweka line kwenye cmu yake akakushawishi ununue muda wa maongez mpesa,tigopesa nk ukifanya hvo ukiahamrudiahia simu kuna app inacopy akiplay ataona kila ulichofanya had namba ya siri
Mkuu ukibadili line tu kwenda kwenye cm ya wakala hao jmaaa wana apps ya tcast incopy kila unchofany kwenye simu hvo kuweka line kwake akakwambia fanya muamala ununue sh 100 muda wa maongez hapo lengo ukiweka tu no ya siri ukimpa cm anplay record ataona namba ya siri anahamisha fasta vijana wengi sana wanajihusisha na hayo mambo wanafahamika na jamiii inayowazunguka
Wengi hutumia uchawi Wala usimlaumu.Kuna kutapeliwa kwingine kizembe sana,hasa wabongo wanatapeliwa kibwege sana.