Vijana wanaumwa maradhi gani?

Vijana wanaumwa maradhi gani?

Nimesoma na jamaa yangu wa kiume miaka yote mitatu ya chuo alikuwa anakula chipus, sote tunaelewa chipus zina low energy, unategemea MTU huyo atasimamia show kweli
 
Ulishawahi kuwaona kuku wanaokula huku mitaani? Kama anakula kuku ambae anaogopa hadi nzi, kuku ambae anapepesuka kama amelewa wakati hakuna upepo unatarajia kijana huyo atakuwa na stamina kweli???
 
Back
Top Bottom