Vijana wangu msiuache mfumo dume

Ahsante MKUU .. makala mengi nimesoma leo hii nimepata kitu.. shukrani sana na wanashindwa kuelewa kwa nini? Mwanaume anatoa mahali na mwanamke anatoka kwao anakuja kwako.. kuna watu wachache wasielewa wanavuruga taratibu.. mwanaume unapigwaje? Vibao na mke wako.. uzembe tu wakutotaka kujishughulisha.. Asante mkuu
 
Amina!
 
Tushaingia mfumo jike, kijana analelewa na jimama kazi zake chache kumliwaza jimama na kulinda mipaka ya nyumba basi, kijana anajiongeza anashinda anapiga mitungi na mihadarati.
 
Je kwa sisi tuliokosea kuoa tuna comment wapi.

Ukipiga chini uanze upya unawaonea huruma watoto wako watakuwa single mothers. Mimi nadhani suala la uanaume wako lipo kwenye mind zaidi.
You're wrong, unaonekana huyo ulimzoesha mwenyewe kuwa hivyo.
 
Ndio hivyo mkuu!
 
Tushaingia mfumo jike, kijana analelewa na jimama kazi zake chache kumliwaza jimama na kulinda mipaka ya nyumba basi, kijana anajiongeza anashinda anapiga mitungi na mihadarati.
Huu upuuzi enzi za ule wanaouita mfumo dume haukuwepo. Kijana ukionekana lelemama na si muwajibikaji, utaitwa mbele ya jopo la wazee wenye hekima na kuonywa vikali, na hata kupewa adhabu ikiwemo kutengwa na vijana wenzako. Haya ndiyo yalikuwa maisha.
 
Kidini women empowerment imeasisiwa na freemason kwa ajenda kuu ni kubomoa ndoa na misingi ya familia.
Shetani apendi ndoa,ndoa ni ibada ya kumuabudu Mwenyezi Mungu.
 
Hakunaga haki sawa kwangu mm. Nakuletea chakula, nasomesha watoto, nimekulipia mahati halafu eti maamuzi ndani ya nyumba yawe 50/50.

50/50 labda utoke nyumban kwangu.
 
Kidini women empowerment imeasisiwa na freemason kwa ajenda kuu ni kubomoa ndoa na misingi ya familia.
Shetani apendi ndoa,ndoa ni ibada ya kumuabudu Mwenyezi Mungu.
Hatari, hawa wapuuzi baada ya kupora ule mchoro wa hekalu kutoka kwa Hiram Habeev wamekuwa na nguvu.
 
Hakunaga haki sawa kwangu mm. Nakuletea chakula, nasomesha watoto, nimekulipia mahati halafu eti maamuzi ndani ya nyumba yawe 50/50.

50/50 labda utoke nyumban kwangu.
Yes, hii isiishie hapa. Ni wakati wa kumkomboa kijana wa kiafrika.
 
Hatari, hawa wapuuzi baada ya kupora ule mchoro wa hekalu kutoka kwa Hiram Habeev wamekuwa na nguvu.
Kazi ya lilith hii baada ya kumdrive Sana Adam akavuta chombo kingine Hawa.
Lilith akaapa atapambana na uzao wa Hawa.Lilith anawatumia freemason kuhakikisha ana mbomoa mwanaume.
 
Huu upuuzi enzi za ule wanaouita mfumo dume haukuwepo. Kijana ukionekana lelemama na si muwajibikaji, utaitwa mbele ya jopo la wazee wenye hekima na kuonywa vikali, na hata kupewa adhabu ikiwemo kutengwa na vijana wenzako. Haya ndiyo yalikuwa maisha.
Sasa hivi mpaka vijana wenye ajira zao wanataka kulelewa
 
Watajaribu sana kuweka usawa lakini hawatashinda sbb mwanaume hajachagua yeye mwenyewe bali Muumbaji!

Walitoka mifupani mwetu hawana ujanja bali mbio za muda mfupi tu,
Hata kama nafasi zote za uongozi watajijaza wao ni kwa muda tu, automatically mwanaume utachukua nafasi yake bila kutumia nguvu yyt.

Mwanaume hatakiwi kuwa na chama cha kumtetea, yy ni mshindi zamani ,sasa na hata milele.

Sauti nzito ina maana yake na si bure, kitu adimu hakitengenezwi kwa wingi, ndio maana wanaume ni wachache kuliko jinsia ile nyingine.

Huwezi kukuta popote mwanaume anadai haki sawa maana yeye ni kiongozi hata kama hayuko mamlakani,
Huwezi kukuta chama cha wanahabari wanaume,wanasheria, madaktari,wachimba madini nk!

Mwanaume ndiye anayetunza akiba ya wanadamu ktk dunia hii, bila yeye hakuna watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…