Vijana wangu msiuache mfumo dume

Isa 4:1​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
 

Isa 4:1​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu
Acha inyeshe!
 
Sijawahi kuamini katika kinachoitwa haki sawa,au usawa wakijinsia kwasababu najua hakuna hicho kitu.Hayo mambo yabaki uko kwenye vyeo naporojo zakisiasa ambazo kimsingi hazitokani na maisha halisi.Lakini pia sio sahihi kutupa lawama kwa wazungu kwasababu ya ujinga wetu.kinachoendelea sasa ni matokeo ya ujinga wetu wenyewe.Tungekua tunajitambua na kujielewa kamwe kusingekua na propaganda chafu ambayo ingeletwa tukaipokea.ila kwavile hatujielewi matokeo ndo haya leo tunajadili jambo lililosababishwa na sisi wenyewe.Kwahiyo badala yakutumia nguvu kulalamikia wengine tuwekeze nguvu zakuelimisha jamii na kusimamia misingi na wajibu wakijinsia.Tukiendekeza huu ujinga wausawa wakijinsia atakayeumia ni mwanamke kwasababu mwanamke ana mahitaji mengi yakijamii anayoyategemea toka kwa mwanaume kuliko mwanaume,sasa itafika kipindi mwanaume hataona tena thamani adhimu ya mwanamke.Sasa niujinga kujadili haki za mwanamke kwakumlinganisha na mwanaume.Wanaume tujitambue natusimame kwenye wajibu wetu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ameeen!!
 
Ngoja aje THINK Different
 
Sasa hapo si tutakuwa tumezeeka wote mkuu! Jeuri ataitolea wapi? Hata akiileta, msingi nitakuwa nimeshauweka, kama ni watoto watakuwa wameshakua na nitakuwa nimeshawatengenezea future, kifupi wajibu wangu nitakuwa nimetimiza kwa 90%
Tahadhari, mwanamke akiwa bado mtoto wake hajafikia umri kuanzia rika la form 4 au six kwenda juu kidogo makucha hayatowi yote, ila watoto wake wakifika hiyo level sasa ni muda wa kutoa makucha yote, na hakuna kiumbe kinajua kupandikiza chuki kwa watoto dhidi ya mazaz kama mwanamke, so usijiamin sana eti mkizeeka utakuwa ushatengeneza msingi kwa wanao, kuwa makin muda wote na hata ujiandalie namna utajihami vipi pia huko uzeeni huna nguvu tena, nguv na mama kwa watot ni kubwa kuliko ya baba, sabb ni kuwa wao hawaoni tabu kumjaza mtot chuki dhidi ya baba yao na mengi huwa ni uongo, ila baba muda hana wa kumfitini mtoto na mamaake? Take care maisha yako yote dhidi ya mkeo ndio maandiko ya dini yanasema. Wanaume walio wengi hukimbia miji yao uzeeni hata kam ana mali anaziacha anenda kuwa mlinzi na kufia kusikojulikana,
 
Hapo kitaalam ndio kiini cha tatizo...na ndio muarobani pia...ndio suluhisho la ndoa. Hongera sana mkuu
 
Mkuu kwa kabila ulilooa ukijidai unaendekeza mfumo dume utawahi kukutana na malaika gabrieli.

Cha msingi kuwa mpole, niulize mimi hao watu nawajua.
mwanaume ukifikia hatua Kama hii yako ,Basi umeuza cheo chako kwa mkeo!kitakachofuata kubuluzwa na kuaibishwa hadharani. Asili umepotea na inaendelea kupotea,wanaume wamekata tamaa,Sasa wamekubali ku surrender kwa KE, wanaume wamekubali kupinduliwa kicha chini,miguu juu,Allah alisema mwanamke atii kwa mume ,na mwanaume ampende mke,Sasa wanawake wamefuta maagizo ya Allah, na kulazimisha maandiko yao,yaani Sasa hivi iko hivi -mwanaume utii kwa mkeo!! [emoji28]. na Sasa hivi,tuna chui jike kule white house,na chui jike jingine kule mjengoni!! Wanaume tupotupo tu hatujielewi na hatushtuki nn kinaendelea!!! [emoji23][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…