Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana hao wameonywa kuacha tabia hiyo kwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kukumbuka uwepo wa sheria ya matumizi mabaya ya mtandao.
Kauli hii imetolewa na Mwanasheria na Wakili wa Kujitegemea, James Kasusura.
Kauli hii imetolewa na Mwanasheria na Wakili wa Kujitegemea, James Kasusura.