Usipige watu mikwara mbuzi, hakuna nyeti yoyote ilizungumzwa hapo.Anaongea habari nyeti bila ushahidi wowote.
Na tushaanza kumfatilia taratibu taratibu lazima akalijibu suala hili mahakamani hatutamuacha hivi hivi
masikini january..kale ka wizara alikopewa kamemficha mbaya.hata akifanya interview kwenye tv/radio unaona kabisa muonekano wake na tone yake ni kama analizimishwa tu kuwa pale.Naona hapa unawaongelea hawa:
1, Nape Nnauye
2. Mwigulu Nchemba
3.January Makamba
Hawa sidhani kama wapo happy sana awamu hii.
Hawa ni vijana pekee ambao wamejitoa sadaka kumtoa Magu 2020.
Nadhani hata wazee wa chama wako upande wao kwa kiasi kikubwa sana.
Yaah Tunapanga Mageuzi hapa Ufipa tupo tunapiga Mihadarati na Mizinga ya Konyagi. Habari hii ni ya Kweli Kabisa.
Nimecheka vibaya sana ...JF kiboko!kimenuka kijijini kwenu team wema mkubwa wewe
Wameiba kura una uhakika?
Tukikupeleka mahakamani uthibitishe utaweza?
you can be someone full, Nani katajwa hapo,chama gani kimetajwa hapo soma vizuri ndio maana mnaabishwa kila siku na Lissu mahakamani,Anaongea habari nyeti bila ushahidi wowote.
Na tushaanza kumfatilia taratibu taratibu lazima akalijibu suala hili mahakamani hatutamuacha hivi hivi
Kwani kipi ni chama kipi kipo madarakani?you can be someone full, Nani katajwa hapo,chama gani kimetajwa hapo soma vizuri ndio maana mnaabishwa kila siku na Lissu mahakamani,
wewe unatokwa na povu la nini?
Huu Ulioandika wewe Ndiyo UchocheziMods futa hii mada mara moja inaleta uchochezi,haina ushahidi wowote
Mkuu wa sasa ni mwepesi sana , anaweza kung'olewa kirahisi sana .Ni ngumu sana mwana CCM kupambana na Mkuu wake akashinda.
Muache atunze mazingira...mtunza mazingira hapaswi kuwa na kelelemasikini january..kale ka wizara alikopewa kamemficha mbaya.hata akifanya interview kwenye tv/radio unaona kabisa muonekano wake na tone yake ni kama analizimishwa tu kuwa pale.
sio january yule aliyekuwa anazungumza kwa bashasha na majivuno awamu ya jk.
Hao walioiba kura wametajwa? Na ni kura zipi za timu ya mpira au SACOSS? Ukienda mahakamani ujipange kwa hoja na ushahidi usije kuwa shahidi SIJUI au UCHWARA!Wameiba kura una uhakika?
Tukikupeleka mahakamani uthibitishe utaweza?
hivi mkuu unazielewa nyendo za Nape wiki kadhaa sasa!?sioni mwenye uthubutu huo
Kwanini wewe umeanza kutoa siri bwana?Amani iwe kwenu,
Jf 4ever,
Taarifa za chinichini zinatanabaisha kuwa wale vijana watatu( tatu bomba) toka chama cha kijani, Tayari wameshaanza kujidhatiti ndani na inje ya chama chao ili ifikapo 2020 kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Mmoja kati yao aingize jina lake ili kupambana na mtukufu aliyeko madarakani, Kawaida ya chama hiki huwa kinamazoea/busara na kauli mbiu ya kusema "mwacheni mwenyekiti amalizie muda wake" vijana hawa wameapa kupambana na mtukufu hadi tone la mwisho, Madai yao nikwamba kwanini aliwatosa.
Hata baada ya kuiba kura kwa upinzani ili yeye ashinde, Kwanini awateue kuwa mawaziri kwenye wizara zitakazowafanya wasijipatie political influence/umaarufu wa kisiasa kwa jamii, Na mtukufu kuamua kuibua vijana kama akina Bashite na wenzake ili kuzika kabisa ndoto za vijana hawa mashuhuri na wapambanaji wa kweli ndani ya chama kikongwe kabisa barani Africa na Duniani kwa ujumla, Mnyetishaji pia anadodoa kuwa mtukufu tayari ameshawanote na yeye ameahidi kuwatosa hivi punde kwenye nafasi zao hizo, Evidence , Uteuzi wa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano,
Watatu hawa wanasema tayari wanawabunge na viongozi wengine wengi inje na ndani ya chama wanawaunga mkono hasa kutokana na utendaji dhaifu wa mtukufu na ukiukaji mkubwa wa sheria za inchi migogoro na wapinzani,kauli za kibabe kitendo ambacho kimezorotesha sana uchumi wa watanzania hasa wakipato cha chini na kati,
Nitaendelea kuwalete VUGUVUGU hili kwa kadiri nitakavyonyetishwa
Hahaha , aisee nomaAmani iwe kwenu,