Tetesi: Vijana wapanga mageuzi 2020

Tetesi: Vijana wapanga mageuzi 2020

Anaongea habari nyeti bila ushahidi wowote.

Na tushaanza kumfatilia taratibu taratibu lazima akalijibu suala hili mahakamani hatutamuacha hivi hivi
Usipige watu mikwara mbuzi, hakuna nyeti yoyote ilizungumzwa hapo.

Btw matokeo ya Rais hayahojiwi mahakamani. Hata mtu akitamka hadharani kuwa matokeo yamechakachuliwa huna cha kumfanya kwa maana mahakama haisikilizi chochote kinachohusiana na matokeo ya urais.

Hii ni elimu bure nakupa
 
Naona hapa unawaongelea hawa:
1, Nape Nnauye
2. Mwigulu Nchemba
3.January Makamba

Hawa sidhani kama wapo happy sana awamu hii.
Hawa ni vijana pekee ambao wamejitoa sadaka kumtoa Magu 2020.
Nadhani hata wazee wa chama wako upande wao kwa kiasi kikubwa sana.
masikini january..kale ka wizara alikopewa kamemficha mbaya.hata akifanya interview kwenye tv/radio unaona kabisa muonekano wake na tone yake ni kama analizimishwa tu kuwa pale.

sio january yule aliyekuwa anazungumza kwa bashasha na majivuno awamu ya jk.
 
Hbar kama hizi mnazitoaga mapma kwa nini? Mnampa nafasi ya mtukufu kujihami
 
Mmebanwa kwenye madawa ya kulevya sasa mnahangaika kwenye chama cha wenzenu.
 
Wameiba kura una uhakika?

Tukikupeleka mahakamani uthibitishe utaweza?
Anaongea habari nyeti bila ushahidi wowote.

Na tushaanza kumfatilia taratibu taratibu lazima akalijibu suala hili mahakamani hatutamuacha hivi hivi
you can be someone full, Nani katajwa hapo,chama gani kimetajwa hapo soma vizuri ndio maana mnaabishwa kila siku na Lissu mahakamani,
wewe unatokwa na povu la nini?
 
Kwani kipi ni chama kipi kipo madarakani?

Wewe subiri zawadi yako hatutakuacha hivi hivi asilani abadani mpaka ukathibitishe mahakamani suala hili.
 
Kwikwikwi kwa kasi ya JPM wanatwanga maji kwenye kinu wakilikoroga atawanyweshwa wenyewe si wanamjua
 
masikini january..kale ka wizara alikopewa kamemficha mbaya.hata akifanya interview kwenye tv/radio unaona kabisa muonekano wake na tone yake ni kama analizimishwa tu kuwa pale.

sio january yule aliyekuwa anazungumza kwa bashasha na majivuno awamu ya jk.
Muache atunze mazingira...mtunza mazingira hapaswi kuwa na kelele
 
Mmmmh. Ilo nalo neno. Mtukufu anadhani Mbowe ndio mpinzani. Kumbe waliokaribu naye ndio wapinzani hasa. Waziri wa Maji anafanya mpango asitembelee radi wa maji
 
Wameiba kura una uhakika?

Tukikupeleka mahakamani uthibitishe utaweza?
Hao walioiba kura wametajwa? Na ni kura zipi za timu ya mpira au SACOSS? Ukienda mahakamani ujipange kwa hoja na ushahidi usije kuwa shahidi SIJUI au UCHWARA!
 
Amani iwe kwenu,

Jf 4ever,

Taarifa za chinichini zinatanabaisha kuwa wale vijana watatu( tatu bomba) toka chama cha kijani, Tayari wameshaanza kujidhatiti ndani na inje ya chama chao ili ifikapo 2020 kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho, Mmoja kati yao aingize jina lake ili kupambana na mtukufu aliyeko madarakani, Kawaida ya chama hiki huwa kinamazoea/busara na kauli mbiu ya kusema "mwacheni mwenyekiti amalizie muda wake" vijana hawa wameapa kupambana na mtukufu hadi tone la mwisho, Madai yao nikwamba kwanini aliwatosa.

Hata baada ya kuiba kura kwa upinzani ili yeye ashinde, Kwanini awateue kuwa mawaziri kwenye wizara zitakazowafanya wasijipatie political influence/umaarufu wa kisiasa kwa jamii, Na mtukufu kuamua kuibua vijana kama akina Bashite na wenzake ili kuzika kabisa ndoto za vijana hawa mashuhuri na wapambanaji wa kweli ndani ya chama kikongwe kabisa barani Africa na Duniani kwa ujumla, Mnyetishaji pia anadodoa kuwa mtukufu tayari ameshawanote na yeye ameahidi kuwatosa hivi punde kwenye nafasi zao hizo, Evidence , Uteuzi wa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano,

Watatu hawa wanasema tayari wanawabunge na viongozi wengine wengi inje na ndani ya chama wanawaunga mkono hasa kutokana na utendaji dhaifu wa mtukufu na ukiukaji mkubwa wa sheria za inchi migogoro na wapinzani,kauli za kibabe kitendo ambacho kimezorotesha sana uchumi wa watanzania hasa wakipato cha chini na kati,

Nitaendelea kuwalete VUGUVUGU hili kwa kadiri nitakavyonyetishwa
Kwanini wewe umeanza kutoa siri bwana?
 
Hahaha , aisee noma
 
Back
Top Bottom