Tetesi: Vijana wapanga mageuzi 2020

Wamtoe WAP? Ha ha ha mnachekesha maana kumtoa mwenyekiti Ili asiwe mwenyekiti haiwezekana maana anaeshika madaraka ya nchi kutoka kule Chaman ndie anaepewa uenyekiti,,,na kama ni kugombea urais haiwezekana maana ni miaka kumi mpaka iishe ndio ataondka.... Mnajibaaaaaana halaf mnajitekenya wenyewe na kuwaachia watu wacheke
 
Irrelevant thread!uchaguzi wa ndani wa ccm ni 20202?
 
Anaongea habari nyeti bila ushahidi wowote.


Na tushaanza kumfatilia taratibu taratibu lazima akalijibu suala hili mahakamani hatutamuacha hivi hivi
Hahah acha kutisha watu kizembe.
 
Kichwa cha habari yako kilipaswa kuwa "NYUMBU WATATU WAPANGA MABADILIKO"
 
Wametoswa vipi wakati kila mmoja wao anapokea posho za uwaziri, kama wapo hao 3, sidhani ni hawa ulioorodhesha
 
Namuona mtukufu akijiunga CUF ya lipumba
ndio mpango wake sasa hivi atakubali kuwa baada ya miaka kumi ataachia madaraka kama wengine ila note ikimalizika 10miaka atasema nafsi inamsuta hawezi kuacha mambo mazuri aliyo ya fanya ya haribiwe na kina!!
 
Hivi kijana Zitto Kabwe alipojipanga kumuondoa Mbowe aliweza!??
 
Uongo mtupu, hakuna ukweli wowote hapo, una nia ovu ya kutaka kuwachonganisha na m/kiti wa chama chao.
 
None of them - atakayeibuka hatatoka miongoni mwa waliotajwa, hatakuwa mtu toka nafasi ya juu serikalini, atatokea nafasi za kawaida kwenye kundi la watu maskini kabisa.

Wekeni hii live mtaniambia kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…