Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tatizo lugha, Msumbiji wanatumia kireno zaidiWanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Mimi niko Bongo ila sina changamoto ya ajira.Wewe uko nchi gani ?
Wanahitajika walimu wa Kiingereza kule nenda ndugu kale pesa za mafuta na madiniTatizo lugha, Msumbiji wanatumia kireno zaidi
Mkafanye biashara ZambiaNa sisi tusio na elimu twende wapi?🥹🥹
KumbeTatizo lugha, Msumbiji wanatumia kireno zaidi
Wabongo hawajui kiingereza, unashauri waende nchi za nje wakafundishe ujinga?Wanahitajika walimu wa Kiingereza kule nenda ndugu kale pesa za mafuta na madini
Bakini hapa.Na sisi tusio na elimu twende wapi?🥹🥹
Even the teachers of English language?Wabongo hawajui kiingereza, unashauri waende nchi za nje wakafundishe ujinga?
Hii nchi tunaweza ku-export umbea.
Angola maisha ni very expensive sio kama Muha anatoka Kigoma na shangazi kaja na mjini anaishi. Angola haiko hivyoKuna Angola maisha yako njema.
Huku sawa.Botswana pesa nje nje
Kwa waliozoea umbea na udaku nje watapata shida. Hata hivyo mtu anaweza enda kule akakaa muda mfupi akarudi na kituSiwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Wanasheria wa Tanzania waende Msumbiji kufanya nini ama kuosha vyombo?Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Hili nalo neno🤔! Najiuliza tu mfano maEngineer ukienda hata nchi za Malawi, Zambia, Zimbabwe sidhani kama utakosa kazi hasa sector binafsi. Mbona waKenya wapo wengi tuu TZ. Naunga mkono hoja, tatizo letu uoga.Hello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine nendeni Gado(Msumbiji) kuna fursa kedekede, Msumbiji kuna amani kwa 98 %, ni sehemu ndogo tu ndio iko hovyo baada ya IS kuweka kambi.
Kuna Angola maisha yako njema.
Botswana pesa nje nje
Siwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Fundi yeyote nenda Angola utanishukuru.
Daktari, muuguzi, watu wa maabara n k nendeni Botswana.
Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Wafanyabishara nendeni Zambia.
Wahandisi nendeni South Africa.
Engineer unsjitolea miaka 4 kwa malipo ya laki 3 na nusu una akili kichwani?Hili nalo neno🤔! Najiuliza tu mfano maEngineer ukienda hata nchi za Malawi, Zambia, Zimbabwe sidhani kama utakosa kazi hasa sector binafsi. Mbona waKenya wapo wengi tuu TZ. Naunga mkono hoja, tatizo letu uoga.
Biashara ganiMkafanye biashara Zambia
Angola maisha ni very expensive sio kama Muha anatoka Kigoma na shangazi kaja na mjini anaishi. Angola haiko hivyo
Huku sawa.
Kwa waliozoea umbea na udaku nje watapata shida. Hata hivyo mtu anaweza enda kule akakaa muda mfupi akarudi na kitu
Wanasheria wa Tanzania waende Msumbiji kufanya nini ama kuosha vyombo?
Hata Malawi hapo karibu tena unaenda kwa basi, unakula KWACHA za kutoshaEngineer unsjitolea miaka 4 kwa malipo ya laki 3 na nusu una akili kichwani?
Nenda kapokee midola huko South Africa
Zambia walivyochoka kimaisha, bora nibakie zangu bongo tuBiashara gani