Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

Makonda is the best but nafikiri anafaa uwaziri wa mambo ya ndani na sio ukatibu mkuu CCM
Mtu anayetuhumiwa kughushi vyeti vya elimu anawezaje kufaa uwaziri?! Only in Tanzania.
 
Team Bashite kazini! Wengine wametumbukizwa wamesingiziwa wenye orodha ili tu Bashite aonekane.
Mtaka wamuache aibadili Simiyu ifike uchumi wa kati.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Usifanye nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM sawa na Chadema. Unakosea sana. Kumbuka unazungumzia chama kilichoshika dola ya watu 63milioni. Pili, kumbuka CCM haikusajiliwa mwaka 1992. Takataka zote ulizotaja hapo ni wanafunzi katika siasa! Katibu Mkuu tunamjua!
 
Mtu anayetuhumiwa kughushi vyeti vya elimu anawezaje kufaa uwaziri?! Only in Tanzania.
Kinachoangaliwa ni utendaji kazi vyeti vinakaa kabatini angalia performance ya mtu alipotoka acha ukilaza wewe
 
Kwahiyo Polepole ni under 40 daah! Akili imegoma kabisa kukubali
 
Good point
 
Kwa maoni yangu, jina namba 2 anafaa zaidi. Ila umri kuwa hafikishi miaka 40, sidhan kama ni kweli. Jamaa yuko vizuri sana
 

Elimu ina uhusiano gani na chama😂. Chama ni upigaji wa domo na kuweka mikakati na usalama kuendelea kushinda. Biashara zote hizi za vyama ni hasara tu wanategemea rusuku ya serikali. Yaani chama ni pesa ya jasho la walalahoi.
 
Nafasi ya katibu mkuu unahitaji mtu mzima na si kijana. Inahitaji mtu wa katikati mwenye uzoefu na ujuzi wa kusikia na kuelewa hisia za vijana na wazee. At least he/she should be above 50 and below 60 years of age!! Above 60 will be ignorant of youth feelings and below 50 will be ignorant of elderly feelings!
 
Ukatibu mkuu ni kazi nyeti na ya kiutendaji. Sio ya blah blah. Hapo sijaona hata mmoja labda kwa mbaaali Polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…