Vijana Watanzania Wenye Mafanikio Makubwa Ughaibuni (Ulaya & Marekani)

Vijana Watanzania Wenye Mafanikio Makubwa Ughaibuni (Ulaya & Marekani)

Ama kweli habari za tajiri kamuulize maskini...acha kujizugisha hapo......sasa we itakusaidia nini? au upo mawindoni? hapo ntaelewa....and Hasheem Thabit? MMhhh i hope ame invest...maana contract inaisha and mambo si shwari kikapu
 
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia

1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............

Huyu anafaa zaidi kule Bandarini maana meli za uvuvi zinaozea pale karibu na Sea Ferries, tunahitaji mchango wake pale kwenye mambo yake ya ubaharia.
 
Wanarudi kwao kusalimu ndungu , jamaa na marafiki ...

We unauhakika gani wanataka kurudi na kufanya kazi Tanzania?

Pengine hilo la kufanya kazi ndio hawaliwezi. Wakiwa na pesa za kutosha kuja kutanuwa huwa wanarudi haraka!
 
Kwahiyo warudi kutangaza nia ya kugombea majimbo ka malicela jr.? acha watumikie taaluma zao bwana!
 
Hiyo Usd 6000 hata hapa Tanzania wako wanaoipata hata zaidi, inategemea umeajiriwa wapi na umejiuza vipi. msiogope mlio nje ya nchi kudhani kua mkirudi mtalipwa pesa ndogo.
 
Pengine hilo la kufanya kazi ndio hawaliwezi. Wakiwa na pesa za kutosha kuja kutanuwa huwa wanarudi haraka!

Wapo wanao kuja kusalimia kwani nyumbini ni nyumbani,kuna wanaopenda kuja salimia kalini wanashindwa hali ni mbaya tena wapo wengi sana! Usisikie eti mtu yupo majuu ukadhani mambo safi! Loooo wapo chali wanahamu ya kurudi,wanashindwa,wanaishia kutuma picha nakuchat kwenye mitandao!
 
Back
Top Bottom