Vijana wateule wa Rais Magufuli tulizeni munkali, jifunzeni kwa Jafo

Vijana wateule wa Rais Magufuli tulizeni munkali, jifunzeni kwa Jafo

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Wenye hekima watanielewa lakini kwa kuwa vijana hampendi kutulia kama Suleiman, Daudi, na Jeremiah itakula kwenu. Hebu pitia maandiko haya:-

Warumi 13:1-4,6-7

[1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.

[2]Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

[3]Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;

[4]kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.

[6]Kwa sababu hiyo tena mwalipa kodi; kwa kuwa wao ni wahudumu wa Mungu, wakidumu katika kazi iyo hiyo.

[7]Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.
 
Namkumbuka Nape Nnauye

Gambo

Siku zinakimbia sana
 
Jaffo na Majaliwa watulivu mno.majaliwa anafanyiwa dharau za wazi na watendaji wa chini lakini hekma za huyu Mzee ni kubwa sana.
 
JAFO wabobezi wanajua kuwa yuko kwenye Kampeni za kutaka kuwa Waziri Mkuu ..........atulize mshono .....mara yeye kila akipewa dakika tano za kuongea hutumia dakika tatu kumtukuza mfalme tuuuuuu ....hadi kero ...
Sasa gharama ya kuhudumia mawaziri wakuu wawili ndani ya muda mfupi inatoka wapi ......huku wengine wakiwa na wake wanne .....
 
Back
Top Bottom