Niko tayar lugha zote niko vizuriAffluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022. Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza. Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
Piga no ya simu hiyo katoa kama uko serious.Yes niko tayar nipe ABC zaidi
Ww umeshindwaje kupiga?hii imekaa kimchongo zaidi malipo kwa siku ,aisee MM NIKO TAYARI NA NI LOBBYIST MZURI SANA SANA ,niko tayar , now i ask for this oppotunity ,piga no ya simu hiyo katoa kama uko serious.
Kazi haipatikani kirahisi watakupotezea nauli yako na bando kwenda mwananyamalaWw umeshindwaje kupiga?hii imekaa kimchongo zaidi malipo kwa siku ,aisee MM NIKO TAYARI NA NI LOBBYIST MZURI SANA SANA ,niko tayar , now i ask for this oppotunity ,
Sisi wazee hututaki?Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022.
Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza.
Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
Mm naweza kutembea 60km kwa siku nyumba kwa nyumba ,mtaa kwa mtaa na kijiji kwa kataNdio biashara za kuuza vyombo?
#MaendeleoHayanaChama
Ww umeshindwaje kupiga?hii imekaa kimchongo zaidi malipo kwa siku ,aisee MM NIKO TAYARI NA NI LOBBYIST MZURI SANA SANA ,niko tayar , now i ask for this oppotunity ,
A
Kazi haipatikani kirahisi watakupotezea nauli yako na bando kwenda mwananyamala
Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022.
Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza.
Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
Daaah watu kama hawa kwanini wasipewe sjui ndo ban ya milele,maana ni utapeli pia kumpotezea mtu muda na pesa za nauliMshenzi tyuu umenitupia nauli yangu wewe si bira ungejituliza tyuu kipindi wantafuta kujifanya kuna nafasi kwenye kampuni yenu thn wanisumbua kwenda kwenye ofisi za watu kumbe waongoo sheenz
Sauti ya kiutawala, inatawala wajinga waliwao ,inatawala ambao hawajawahi kupigwa, mm nahasira sana ,natamani huu mtandao uchimbiwe kaburi uzikwe ni upigaji ,,,akijiri wajinga wenzako wa darasa la 0 la 1950 iliyopita ,zama zimebadilika sana ,mmehamia mitandaoni et eeee!!!Piga no ya simu hiyo katoa kama uko serious.
Siwashaurj muende huko, maana ni kupoteza muda wako Bila ya Senti tano mfukoni, halafu anamaneno mazuri ya kushawishi tapeli Huyo Hadi unaona hapa ndio penyewe.