Vijana hao wametambuliwa kwa majina ya Amos Fidelis na Marick Yussufu, ambao kila mmoja anakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20 na 24. Inadaiwa walizama ziwani jana jioni majira ya saa 12.
Taarifa za vifo vya vijana hao zimetolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kagera.