Vijana wawili wafariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria, eneo la Bandari ya Bukoba

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251


​
Miili ya vijana wawili waliofariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria, eneo la Bandari ya Bukoba mkoani Kagera imeopolewa usiku na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bukoba ikisubiri kuchukuliwa na ndugu na jamaa kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Vijana hao wametambuliwa kwa majina ya Amos Fidelis na Marick Yussufu, ambao kila mmoja anakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20 na 24. Inadaiwa walizama ziwani jana jioni majira ya saa 12.

Taarifa za vifo vya vijana hao zimetolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kagera.
 
Hivi Majaliwa alipotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…