Pre GE2025 Vijana Wazalendo wenye nia ya dhati kugombea nafasi ya Ubunge au Udiwani njooni hapa tupeane mawazo

Pre GE2025 Vijana Wazalendo wenye nia ya dhati kugombea nafasi ya Ubunge au Udiwani njooni hapa tupeane mawazo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajumbe wajumbe wajumbe.. Kama unataka Jimbo kupitia CCM basi jipange na hawa watu.. Wajumbe sio watu wazuri . Wajumbe hawatabiriki..

Walinipa kura 0 japo wapo nilosoma nao.. Nilioishi nao Jirani.. Niliokesha nao nikiwapa K Vqnt pamoja na posho.. Wapo pia niliogharamia usafiri wao nk.. Na bado nikaambulia 0..
Pole Mkuu, usikate tamaa.
 
Hakuna uzalendo kwenye siasa, wote kinacho wapeleka kwenye siasa ni Njaa, kwa sasa kama unataka maendeleo basi fungua Kanisa au ingia kwenye siasa, biashara zingine zote ni kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom