Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Cheusi Magala ndiyo habari ya mujini.....

1623759159388.png
 
Toka zamani walikuwepo weusi na weupe na utani ulikuwepo, sidhani km kuna mzazi mwenye akili timamu azae mtoto afu amnange kwa rangi aliyomzaa nayo! Ushoga tu umeingilia kizazi chetu cha watoto wa kiume.....kwa wanawake ni kutokujua thamani ya ngozi yake maana yakidunda yale duuuh
 
Kwanza mwanaume unakuwaje mweupe[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ndo mnavyojipaga moyo hivyo ila hata ujifariji ukweli upo pale pale mwanaume mweupe anapendwa sana na wanawake na ndo maana mwanaume mweupe akimtongoza msichana mweusi huyo msichana anakuwa haamini kama kweli ni yeye amepata bahati yakutongozwa.

Ukweli upo wazi wanaume weusi hawajiamini ndo maana wanajikoboa kila siku wawe angalau na kaweupe fulani avutie wasichana.
 
[emoji419][emoji419][emoji419] tena bora wawe na hela ..atleast..
Wanaringa balaa
Ewaaah... Mwanaume mweupe anaringa na bado wanawake watajisogeza maana wanajua kabisa ukiachana na mwanaume mweupe haichukui muda wanawake wanajiweka.

Hili nina ushahidi nalo kuanzia primary hadi chuo nimekuwa nikibabaikiwa sana na wasichana kwasababu ya weupe tu.

Na kiburi ninacho kweli lakini ntabembelezwa weeee hata kama kosa langu.

Ukweli mchungu tuache kujifariji maana kuwa mweusi tu inaonekana kama ni laana hivi. Yaani kama binadamu wa nyongeza tu.
 
Wacha we!!
 
Mimi niwekee hapa mwanaumr mweusi na mweupe naenda kwa mweusi...
Mimi binafsi men akiwa anamaringo nahisigi ana hormonal imbalance! Am sorry
 
Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii

Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi

Mweusi kama chungu cha mchawi

Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu

Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!

Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa

Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi

Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote

Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.

Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala

Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.

Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
Miafrika ndivyo tulivyo.
Tunabaguana wenyewe wakati wote tunaitwa NYANI na mzungu.
 
[emoji419][emoji419][emoji419] tena bora wawe na hela ..atleast..
Wanaringa balaa
Hao wanaume weusi wenyewe wanasema kwa rangi zao kuoata mademu wakali tena weupe ni ngumu mno ndo maana ili mwanaume mweusi amiliki demu mzuri lazima apambane sana apate hela ili iwe kama kivutio.

Lakini kwa mwanaume mweupe hahitaji ulazima wa pesa kumiliki demu mkali anachohitaji ni weupe wake tu kuwagonganisha warembo.

Ukweli uachwe kuwa hivyo maana kujifariji kwakuwa umeumbwa mweusi wala haitabadili ukweli.
 
😃😃😃 dizaini limekushikaaa..easy mzee
 
Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii

Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi

Mweusi kama chungu cha mchawi

Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu

Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!

Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa

Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi

Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote

Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.

Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala

Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.

Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
Huja wahi skia blackbeuty wewe??
 
Mimi niwekee hapa mwanaumr mweusi na mweupe naenda kwa mweusi...
Mimi binafsi men akiwa anamaringo nahisigi ana hormonal imbalance! Am sorry
Hapo umezungumza hivyo kwakuwa hujiamini kama mwanaume mweupe anaweza kuwa wa peke yako maana wengi wanamuwinda.

Ila ukijimilikisha mwanaume rangi ya lami huyo ni wa peke yako hakuna wanawake watakaomvizia.
 
Nadhan hapa ww unaongelea age fulan za watoto wa form 2..mm naongelea mwanaumr kama mwaume..wengi huwa nyoronyoro sana..nna experience nao
 
Mimi niwekee hapa mwanaumr mweusi na mweupe naenda kwa mweusi...
Mimi binafsi men akiwa anamaringo nahisigi ana hormonal imbalance! Am sorry
Ndo maana hoja yako kuu ni kwamba wanaringa ingawaje kiuhalisia unawapenda kuwa nao ila shida unahofia kuwekwa kando muda wowote.

Ujue mwanaume mweupe anaweza kumtema demu mkali na asiumie badala yake ataumia demu. Hii ni kwasababu anajiamini kumiliki demu mwingine mkali zaidi pasipo gaharama yoyote.
 
Back
Top Bottom