Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Mm masuala ya kutemwa hayapo kwa kamusi yangu..!haipo
 
[emoji2][emoji2][emoji2] dizaini limekushikaaa..easy mzee
Linishike vipi mzee wakati hapa nachagua yupi wakumtafuna najichagulia tu.

Huwa namwambiaga demu wangu nikikuhitaji kwa sex ukazingua basi nachukua demu mwingine aka replace nafasi kwa muda.
Hapo nakuwa namchanganya anaweza kunipa hata akiwa period.

Na hii sio kwa demu mmoja bali ni demu yeyote ninayekuwa naye. Hadi wakati mwingine nakaa nawahurumia jinsi ninavyowaburuza kama watumwa vile.
 
Inaonekana hawana direction...wanakutegemea wewe uwape hata ya mafuta...hapo ni sawa..endelea kuwaburuza boss
 
Dah umenichekesha sana eet mweusi kama chungu cha mchawi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nmekutana na madem zaid ya 8 wanataka mimba wapate watoto white. Nakataa tu.
Upo sahihi kabisa mkuu hata mie nimekutana na hali hiyo.

Wanaume weupe wanapendwa mno na mademu wengi wakiwa na wanaume weupe muda wote ni roho juu juu kuhofia kuibiwa.
 
Heee hii kali
 
Upo sahihi kabisa mkuu hata mie nimekutana na hali hiyo.

Wanaume weupe wanapendwa mno na mademu wengi wakiwa na wanaume weupe muda wote ni roho juu juu kuhofia kuibiwa.
Na wale wasiojiamini sasa ndo wanaponda wanaume weupe. Wanaume weupe wana mvuto flani kwa wanawake. Na wanawake wanaamini pamoja watazaa watoto weupe pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…