Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Muone vile mweusi kama bordyguard wa😁😁...
 
Vijana wengi hawajiamini na kingine kuigaiga mambo

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
Hili la kutokujiamini ni tatizo kubwa sana kwa jamii yote ya Tanzania. Unakuta mtu hataki au hana hobby ya kitu fulani lakini analazimisha kuiga wengine ili asichekwe na kuambiwa mshamba. Hili tatizo linaleta tatizo jingine la watu kuwa kama yule mnyama nyumbu i.e. kufuata mkumbo.
 
Daima kitu kizuri ndo kinachosifiwa.

Unakuwa na mwanaume ana sura ngumu hadi ukipita nae mbele za watu wanashangaa nakucheka kwamba huyu mwanamke alikosa nini hadibakawa na mwanaume kama huyu.

Kweli wewe ni mzuri mkuu acha kabisa,
 
Kwanza mwanaume unakuwaje mweupe[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ni weupe upi wa ngozi unaozungumziwa hapa.maana kuna wazungu,kuna weupe wa huku uswahilini. Which is which?
 
Come, let's bet! Am black
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…