Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Kwamba wakiwa na rangi nyeusi wanabaguliwa? Sikilizeni wakaka , yaani sis wanawake tunapenda wakaka weusi balaa, msijichubue kabisa mnaharibu, ukiwamweusi tembea kifua mbereee wadada wanapenda hiyo rangi
 
Hawajielewi hao wadada
Labda ni watoto
Tall
Black
Hb ndo habarii
 
Umekutana na wanawake au visichana vichache mkuu
Kwa kweli nashukuru sijakutana na magume gume. Wachache sijajua kwako ni idadi gani. Wewe unaweza kuwa umetengea na wanaume 70-100 ukaona wachache. Mimi idadi ya wasichana niliotembea nao sijakutajia idadi rasmi ya nliotembea nao. Nmekwambia waliotaka kupata mimba kwa msisitizo. Wanaweza kuwa wachache kama ambavyo nawe ungesema waliotembea nawe na kukupa mimba ni wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…