Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection".
Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha yao. Vijana wengine wengi wanaoshiriki kwenye hayo mambo ni wanaharakati kabisa wa mambo mbalimbali humo mtandaoni na katika jamii.
Hata nilipokuwa chuo nilikuwa nashuhudia vijana wakipeana sana video za pornography katika flash. Yani kuna watu walikuwa wanahifadhi GB kadha za video za ngono kwenye computer zao wanakuwa wanaziangalia kwa kurudia rudia!
Hii ina maana gani ukizingatia vijana hao wote wengi ni watu waliopita umri wa teenagers?! Je, kuna tatizo kubwa la uraibu wa pornography katika jamii yetu??